TUTUMIE NAKALA YA KAZI YAKO YA SANAA (AU LINK YA KAZI HIYO) KAMA MUZIKI, BEAT, PICHA, ANIMATION VIDEO, VIDEO YA MUZIKI, FILAMU NK. KUPITIA vipajionair@gmail.com ....

Friday, August 15, 2014

KARIBU VIPAJI-ON-AIR

Habari gani yo!!!!! Je we unahisi una kipaji? Je we ni mwanamuziki, rap artist, music producer, video director, dancer, actor, mtunzi wa mashairi, mbunifu au ni muandaaji wa kazi yoyote ya kibunifu? Kama jibu ni NDIYO basi "VIPAJI-ON-AIR" ndio blog inayokuhusu. Blogg hii ipo kwa lengo la ku support kazi za kibunifu na vipaji mbalimbali,  Tafadhali tutumie kazi zako za sanaa (muziki, midundo,video za muziki,mixtape, picha nk.) au LINK za kazi hizo kupitia email yetu ..vipajionair@gmail.com. PAMOJA.